Ulaji wa mayai na unywaji wa maziwa kwa wananchi wa vijijini unaonekana kuwa mdogo ikilinganishwa na wa mijini.
Amesema maharage ya Jesca hayatumiwi kwa mtu au jinsi ... Naye Mkurugenzi wa TARI Uyole, ambaye ni daktari wa Filosofia na mbunifu wa mbegu za mazao, Tulole Lugendo amesema kutokana na uhitaji ...
Maharage yakiwa na takriban aina 40,000 tofauti ... kuanzia maharagwe na njegere hadi mbegu zilizokaushwa kama vile dengu na mbaazi. Mikunde yote ina mchanganyiko wa amino asidi muhimu, na ...