Mwishoni mwa mkutano huu, naibu waziri wa mambo ya nje wa Uturuki alikuwa na jukumu la "kupeleka kwa Rais wa Uturuki, Recep Tayyip Erdogan, mapokezi mazuri ya viongozi wa Sudani kwa mpango [wake ...
Maelezo ya picha, Bwawa la kufua umeme la Reinnacence nchini Ethiopia limezaa mgogoro baina ya nchi hiyo na Misri na Sudani ... Sudan katikati na waziri wa Unyunyuziaji Maji Mashambani Yasser ...
Wabunge walirushiana makonde baada ya Waziri mkuu wa Kosovo kurushiwa maji na picha yake kukatwa na mbunge wa upinzani ndani ya bunge la Kosovo. Ghasia hizo zilizuka kufuatia mjadala mkali wa siku ...