Aliyetunukiwa tuzo ya Amani ya Nobel Malala Yousafzai anasema anashukuru kuwa mtu wa sita kupokea tuzo hiyo ya heshima ya uraia wa Canada. Msichana huyu mwenye umri wa miaka 19 pia ndiye mtu ...
Mshambuliaji wa Manchester United na England, Marcus Rashford amepata tuzo ya heshima ya (MBE) inayotolewa na Malkia wa Uingereza kwa mchango wake alioutoa kwa watoto wanaoishi katika mazingira ...
Dar es Salaam. Wakala ya Barabara Tanzania (Tanroads) umepokea tuzo ya kimataifa kutokana na mchango wake wa kuboresha ...
Tuzo hii inanuia kutambua na kukuza vipaji vya uandishi Afrika. Tuzo hii ilizinduliwa mara ya kwanza mwaka 2015 kwa heshima ya marehemu Komla Dumor mwandishi wa habari wa BBC na mzaliwa wa Ghana ...
MCHEKESHAJI mkongwe, Lucas Mhavile ‘Joti’ ameng’ara baada ya kutwaa tuzo mbili huku mchekeshaji Leonard Datus ‘Leonardo’ ...
Mshindi wa wa tuzo ya amani ya Nobel kwa mwaka 2021 atatangazwa ... Tuzo hizi zinatajwa kuwa na heshima kubwa duniani, Nobel Peace Prize ni miongoni mwa tuzo sita ambazo zilianzishwa na hayati ...
Benzema ni Mfaransa wa kwanza kushinda tuzo hiyo ya heshima tangu Zinedine Zidane mwaka 1998. Zidane alikuwa kwenye hafla hiyo kumkabidhi mchezaji huyo tuzo hiyo. “Tuzo hii iliyo mbele yangu ...
Washindi wa tuzo hiyo ya heshima ya juu zaidi katika tasnia ya muziki nchini Marekani walitangazwa wakati wa hafla iliofanyika jijini Los Angeles juzi Jumapili. Matsumoto alishinda Tuzo ya Best ...
Kwa sasa ni mtangazaji wa TV na ripota wa Televisheni ya Diamond nchini Zambia, ambapo alianza kazi miaka mitano iliyopita. Tuzo hiyo ilianzishwa kwa heshima ya Komla Dumor, mtangazaji wa BBC ...