News

Wakfu wa Born Free unasema kuwa umepata picha na kutambua njia za simba katika eneo la Alatash liilo karibu na mpaka na Sudan. Eneo hilo linaaminika kupoteza simba wake wote katika karne ya 20 ...
Hatua hiyo ni pamoja na kufanya kazi na akaunti zilizoshirikisha mamilioni ya dola, ikiwemo moja iliokuwa na dola milioni 25, hivyobasi Dewji aliponunua asilimia 49 ya hisa za Simba 2017 ...