Mwanadiplomasia mwandamizi wa China anasema nchi hiyo inapanga kuifahamisha Japani juu ya matokeo ya uchunguzi wa kifo cha ...
Bado kuna vilio na huzuni. Salamu za rambirambi zinamiminika kutoka ndani na nje ya taifa hilo la Afrika Mashariki. Watanzania wamepewa fursa ya kumuaga. Mtawala anapofariki, kinachosalia ni ...
CHUO Kikuu cha Sokoine cha Kilimo (SUA) kimefanikiwa kupata miradi mipya ya utafiti 11 yenye thamani ya Sh bilioni 4.5 katika ...
Utawala wa kijeshi wa Niger umepiga marufuku uuzaji nje wa mchele na nafaka kwa minajili ya kulinda bidhaa katika masoko yake ...
Iran jana Alhamisi iliionya Israel dhidi ya kulipiza kisasi kufuatia shambulizi lake la makombora la Oktoba mosi mwaka huu.
KLABU ya Simba Queens itakosa huduma ya golikipa wake Coraline Rufa atakayekuwa nje ya uwanja kwa msimu mzima baada ya ...
Naibu wa Rais wa Kenya Rigathi Gachagua ametimuliwa Alhamisi hivi punde siku ya Alhamisi jioni kufuatia utaratibu ambao ...
ZAIDI ya vijana 300 kutoka mataifa 100 Duniani wamekutana kwa siku tano katika Chuo cha Maendeleo na Ushirikiano wa Kimataif ...
Waziri wa mambo ya nje wa Iran Abbas Araghchi ameelekea Saudi Arabia Jumatano, Oktoba 9, kama kituo cha kwanza katika ziara ya Ghuba ambayo pia inajumuisha Qatar. Kwa mujibu wa wizara ya mambo ya ...
Waziri wa Kilimo, Umwagiliaji, Maliasili na Mifugo wa Zanzibar, Shemata Khamis, amesema Serikali ya Zanzibar imechukua hatua ...
MAWAKILI wanaowakilisha Bunge la Kitaifa wametaka kesi dhidi ya Naibu Rais Rigathi Gachagua katika Seneti iendelee licha ya ...
Naye, Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Paul Makonda amesema kuwa katika Mkoa wake Serikali imetoa shilingi bilioni 72 katika sekta ya ...