Alleged double murderer Daniel Muka did not suffer any breach to his fundamental rights by being denied bail, Malta’s highest court has confirmed. In a judgement handed down on Monday, the ...
Putra and Lunas marriage have reached their oneyear anniversary but it is clear that their relationship is heading towards the rocks Putra loses himself in finding inspiration for his next novel ...
Kondoo wamedhihirisha kwamba wana uwezo wa kutambua na kutofautisha nyuso za watu wanaowafahamu, kwa mujibu wa utafiti. Watafiti katika Chuo Kikuu cha Cambridge waliweza kuwafundisha kondoo ...
Stockwell anasema wazo kwamba unywaji pombe wa kiasi ni nzuri lilikuja kwa sababu ya mbinu duni za utafiti. Maswali hayakuwa ya kitaalamu. Na baadhi ya mambo muhimu yalipuuzwa. Lakini sio kila mtu ...
Katika maelezo ya historia ya watu wa Mijikenda, tumesikia kwamba kulikuwa na watu waliokuwa na vipawa mbali mbali na pia majikumu tofauti tofauti. Wazee wa Kaya, walikuwa makuhami ambao ndio ...
Timu ya utafiti ya kimataifa imeonya kwamba mabadiliko ya tabia nchi yanahatarisha mno afya za watu duniani kote. Watafiti 120 au zaidi kutoka Uingereza na nchi zingine wamechapisha ripoti ya ...
Juzi Jumanne Israel ilisema kwamba shambulio katika viunga vya mji mkuu wa Lebanon, Beirut lilimuua afisa mwandamizi wa Hezbollah Hashem Safieddine. Alikuwa anatarajiwa sana kuchukua nafasi ya ...
Iran imetupilia mbali madai ya Waziri Mkuu wa muda wa Lebanon Najib Mikati kwamba inahitilafiana na masuala yake ya ndani kufuatia matamshi yanayohusishwa na Spika wa bunge la Tehran. Alhamis ya ...
Baada ya ziara yake nchini Qatar, Kamishna wa Haki za Kibinadamu wa Ukraine Dmytro Lubinets ametangaza kwamba upatanishi wa nchi hiyo ya Ghuba kati ya Kyiv na Moscow umemwezesha kupokea orodha ya ...
Waziri Mkuu wa Israel Benjamin Netanyahu ametoa onyo kali kwa Iran kuwa hakuna eneo lolote wasiloweza kulifikia huko Mashariki ya Kati. Waziri Mkuu wa Israel Benjamin Netanyahu ameiambia Iran ...