Mvua kubwa inayonyesha Dar es Salaam Tanzania hivi sasa imetatiza huduma za usafiri kwa mabasi ya mwendokasi. Usafiri wa mabasi hayo umesitishwa kutokana na mafuriko eneo la Jangwani. Muandishi wa ...
Huduma ya mabasi ya uchukuzi yanayoenda kwa kasi BRT nchini Tanzania imeanza rasmi siku ya jumanne katika jiji la kibiashara la Dar es Salaam. Abiria watalipa shilingi 400 na 800 huku wanafunzi ...