Kulingana na Hume, hadithi inasema kwamba Fergus alichukua ... "Jiwe la Hatima" hili lilitumika kwa karne nyingi katika sherehe za kutawazwa kwa wafalme wa Uskoti. Lakini kufuatia ushindi wake ...