Sanamu la shetani linalopangwa kuwekwa katika mji wa Uhispania Segovia limeshutumiwa kwa kufurahi sana. Sanamu hilo la shaba bronze liliundwa kwa heshima ya ngano au hadithi ya kale inayosema kuwa ...
Ikiwa karibu na mti wa krismasi sanamu inaonyesha nyoka aliyejipinda kwanye mkono unaoshika tunda la tofaa Ndiyo sanamu ya kwanza kuletwa na hekalu la shetani la chicago. Serikali ya jimbo hilo ...