News

Takriban watu 20 wamefariki dunia na wengine 48 kujeruhiwa katika ajali ya barabarani iliyohusisha zaidi ya magari matatu mkoani Mbeya, kanda ya nyanda za juu kusini mwa Tanzania. Ajali hiyo ...
Ajali za barabarani zinatajwa kuwa ndio zinasababisha vifo vingi vya watoto na vijana duniani, kwa mujibu wa shirika la afya duniani(WHO). Shirika hilo la afya limechapisha ripoti ambayo ...